Mtangazaji wa kike anayepiga kazi na MTV BASE Vanessa Mdee ameonekana kupitia Tv station hiyo akimhoji jamaa anayefanya poa sana katika game ya Hip Hop kitaa cha marekani French Montana, na pia clip hiyo ya Vanessa na Montana imeonekana tena katika reality Tv show ya "TAKE THE HAMPTONS" inayowahusisha ndugu wawili wa kike wa Kim Kardashian, Khloe na Kourteney Kardashian ambayo inaruka kupitia kituo cha Television cha E!ENTERTAINMENT pande za marekani ambapo show hiyo imeanza jana tar.2 Nov ikiwa ni season mpya.
Comments
Post a Comment