TAZAMA PICHA YA KWANZA YA RIHANA BAADA YA KURUDI TENA INSTAGRAM.

Baada ya kutumikia kifungo cha miezi cha kutoruhusiwa kutumia mtandao wa Instagram Bad gal Rihana amerudi tena Instagram na hiyo hapo juu ni picha aliyopost soon tu baada ya kuruhusiwa kutumia tena akaunti yake ya Instagram,akaunti ya Rihana ilisimamishwa mwezi may mwaka huu baada ya kukiuka masharti ya Instagram pale alipopost picha zake akiwa mtupu kupitia magazine cover ya kifaransa ya LUI.

Comments