Hii ni moja kati ya joint mpya ambayo wengi walioiskia wameiongelea kama ngoma kali inayoweza kuleta ushindani mkubwa katika game la muziki wa kiafrika huyu jamaa anaitwa Obilor Leonard Udochukwu a.k.a Lambasixx ambaye ni upcoming artist all the way down kutoka kipande cha Nigeria,Usiklize huo mzigo kisha tupia comment zako.
Comments
Post a Comment