Licha ya kutengana kwao muigizaji mwenye drama nyingi Nick Cannon na muimbaji Mariah Carey bado wawili hao wametangaza kula bata la x-mass msimu huu kwa pamoja, Nick ameibuka na kusema kuwa kuachana kwao hakuzuii kusherehekea kwa pamoja na watoto wao Morrocan na Monroe katika msimu huu unaokuja wa sikukuu ya X-mass na mwaka mpya.
Nick Cannon aliyewahi kutokea katika movie ya "Love dont cost a thing" na ambaye kwa sasa anaonekana zaidi katika TV drama ya "Real husbands of Holywood" alifunga ndoa mwaka 2008 na Mariah Carey ambaye alimzidi umri Cannon na kuachana kati kati ya mwaka huu.

Comments
Post a Comment