DESIRE LUZINDA NA BF WAKE HUENDA WAKASHTAKIWA KWA KUSAMBAZA PICHA ZA UTUPU.


Star wa  kike katika muziki kipande cha Uganda Desire Luzinda ambaye juzi kati tu hapa aliingia katika saga la picha zake za utupu kuenea kupitia mitandao ya kijamii ambapo ilidaiwa kuwa rafiki yake wa kiume a.ka. BF (Boyfriend) ndiye aliyezitupia picha za mwanadada huyo akiwa kihasa hasara chumbani picha amabazo kwa kiasi kikubwa zimemchoresha sana mwanadada huyo mwenye heshima kubwa katika muziki area code  za 256 Uganda, saga linaendea kwa waziri wa maadili wa Uganda Simon Lokodo kupitia wizara yake ameagiza desire na jamaa yake wakamatwe na washtakiwe kwa kosa la kusambaza picha za utupu ambapo ni kinyume na sheria za nchini Uganda.

Comments