LOL! MSIKILIZE MKALI T-PAIN ANAPOIMBA SAUTI YAKE BILA AUTO-TUNE...
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mkali wa kutumia Auto-Tune katika nyimbo zake Faheem Rasheed alias T-Pain ameamua kuwaonyesha watu kuwa yeye ni mkali wa kuimba hata bila kutumia Auto-Tune,Inasemekana kuwa T-Pain mara nyingi muziki wake umekuwa ukibebwa sana na Auto-tune kuliko sauti yake halisi hivyo kuwafanya mashabiki wake kutoifahamu vizuri sauti yake halisi,Fanya kutazama Clip ya hapo juu uone jinsi T-Pain anavyoweza kuimba hata bila ya kuwekewa effect za Auto-Tune.
Comments
Post a Comment