DAAAH: KUMBE MUZIKI UNALIPA EENH!?...KCEE ANUNUA CADILLAC YENYE BODY YA GOLD.

Mkali katika game ya muziki kunako kitaa cha Nigeria KCEE anayefanya poa na material zake kali ikiwemo" PULL OVER" ameripotiwa kununua ndinga aina ya Cadillac Escalade iliyonakshiwa na gold (Gold Plated), KCEE kupitia akaunti yake ya Instagram amepost picha kadhaa zinazolionyesha ndinga hilo na ametupia text inayosomeka,...So far this year God has been so good to me,Sold out concerts,Successful tours,endorsements etc. So I decided to bless my self with a new cadillac escalade.

Comments