Kama ulikuwa unaifeel sana single ya Me & You ya kundi la bracket la Nigeria na labda lugha iliyotumika katika wimbo huo inakupiga chenga kiaina.... basi ishu ni kuwa mshkaji kutoka hapa hapa bongo ametengeneza cover version ya wimbo huo, jamaa anatembea kwa jina la Sometymz Memo kutoka kitaa cha Dodoma huku prodyuza aliyefanikisha mzigo huu anaitwa Double-Y anayepiga mzigo katika studio za G-Sounds pande za Dom.
Comments
Post a Comment