.MALI ZA GOLDIE KUPIGWA MNADA MWEZI UJAO

Marehemu Goldie

Staa wa kike aliyekuwa anaiwakilisha vizuri naigeria nje ya mipaka ambaye siku chache kabla hajafariki aliachia wimbo wake unaotembea kwa jina la skibobo aliomshirikisha msanii Ambwene Yesaya AY kutoka afrika mashariki Tanzania

Kwa mujibu wa Familia ya marehemu Goldie ambaye licha ya kuwa muimbaji pia  aliiwakilisha Nigeria katika mashindano ya BBA story ni kuwa mali zake zitapigwa mnada mapema mwezi ujao.Hii inatokana na wosia ambao aliuandika kabla ya kufariki.Hizi ni baadhi ya vifaa ambavyo vitapigwa mnada , Baadhi ya mali hizo ni pamoja na meza za ndani za vioo zenye thamani kubwa, vitanda vyake vya thamani, makochi ni vitu vingine vingi vyenye thamani kubwa.



Comments