baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye moja ya hips zake, Lady Gaga ametengenezewa kiti maalum cha kutumia hadi pale atakapokuwa fiti kutembea mwenyewe.
Kiti hiki ni cha dhahabu safi kwa asilimia kiti hicho yaani wheel chair kimepambwa kwa nakshi za dhahabu safi na kimetengenezwana sonara mtaalam wa mitindo anayefahamika Ken Borochov ambaye alitumia wiki moja tu kutengeneza kiti hicho
Comments
Post a Comment