Mwana FA amesapoti wasanii wengi kwa kupiga nao
collabo kwenye ngoma zao, lakini lakini sasa hivi ameenda ahead kwa kuanzisha
record label, na tayari ame sign vichwa kadhaa na hivi karibuni label hiyo ime
release ngoma ya msanii wake mmoja, mwanadada anaitwa maua, inaitwa Crazy
feat mwanafa
"nimefanya mziki kwa mda mrefu na siwezi kumsaidia kila mmoja
anaefanya mziki, kuna watu wanavipaji vinapotea mtaani huku, na nikaona naweza
kufanya kitu,
tutachagua wawili watatu ambao tutaona vipaji
vyao vinajitosheleza na kuwasimamia haitatupashida, maua ndio ameanza sema kuna
wengine wawili watatu mnawajua ila maua tumeona ndio wakati wake,
"lebo ina kama mwaka hivi lakini
tunaendesha shughuli kichinichini, tunajaribu kutengeneza watu, kupanga
mambo yetu, kusajili kampuni yaani utaratibu wa nyuma kabla mziki haujaskika na
mtu wa kwanza kutoka ni maua kwasababu muda wake umefika alisanua Binamu..
Comments
Post a Comment