Rapper Nas na Damian Marley ambaye ni mtoto wa mwisho wa hayati Bob Marley tarehe 15 Feb na 16 feb wanatarajia kutua katika ardhi ya Kikwete kwa ajili ya ziara yao waliyoipa jina la Damian Marley- Nas African Tour. Nas na Damia Marley kwa pamoja wamefanya album waliyoipa jina la "Distance Relative"ambayo waliuza chini ya kopi milioni tano.
Hizi ni baadhi tu ya nchi za Africa ambazo Nas na Damian wanatarajia kutoa burudani.
v Accra, Ghana
v Johannesburg, SA
v Cape Town, SA
v Dar-Es-Salaam, Tanzania
v Harare, Zimbabwe
v Nairobi, Kenya
v Kampala, Uganda
v Addis Ababa, Ethiopia........
Comments
Post a Comment