rapper kutoka Kenya Stella Mwangi maarufu kama STL amechaguliwa na Live Nation –
Norway kufungua show ya Trey Songs kutoka marekani
anaye fanya show kesho mjini Olso Norway.
STL Ni msaani pekee kutoka Africa atakaye fanya show usiku huo, Kwa STL hii
imekuwa heshima kubwa na nafasi yakipeke sana kama alivyo Twitt-in kwenye page yake ya twitter.
Comments
Post a Comment