Marehemu Omari Omari
Msanii nyota wa miondoko ya Mchiriku, Omari Omari, amefariki afajiri ya jana
atazikwa leo ajira ya saa 7 mchana,King Sapeto, rafiki wa karibu wa marehemu, amesema Msiba uko Temeke Mikoroshini nyumbani kwa baba yake na pia.....
mazishi yatafanyika Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam
mazishi yatafanyika Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam
Omari Omari aliyetamba na wimbo “Kupata Majaaliwa” ndani yake kukiwa na
mstari mkali unaosema ndevu amekosa ng’ombe lakini mbuzi kapewa, alifariki
katika hospitali kuu ya Temeke baada ya kuugua ugonjwa wa kifua kikuu.
.
Comments
Post a Comment