Msanii anaye tamba na Nyimbo kama `Same Dam Time Na
Turn Off The Lights' ,Future kutoka`Epic Record
label' ambayo ndiyo label anayofanyia kazi Ciara. Interview ya mwisho aliyo fanyiwa Future kuhusu Mixtape yake mpya
na maendeleo yake kwenye mziki Future alifunguka kuhusu uhusiano wake na
Ciara Nakusema... kwa sasa hawezi
sema lolote ila Ciara anamfurahisha sana na yeye anapenda kampani yake. Wakiwa
karibu wanajiskia vizuri kitu ambacho ni poa kwenye mahusiano alisema
Future. mpaka sasa tayari wamefanya wimbo pamoja na ni single ya Ciara, Sorry Remix ft Future.
Comments
Post a Comment