Chriss Brown ameripotiwa kuzinguana na jamaa aliyefahamika kama Frank Ocean katika studio za Westlake jijini Los Angeles wakati Chriss akimsikilizia mmoja kati ya washkaji zake alieyekuwa anarekodi wimbo studio hizo,wakati Chriss Brown anatoka studio ghafla bila kutegemea alikutana na Frank akiwa na washkaji zake walimzuia Brown asitoke na kumchimba mikwara kwa kumwambia....
"This is my studio, this is my parking spot." ambapo ilitokea mshikemshike kwa Chriss Brown kusukamana kibabe na kundi la Frank Ocean.
"This is my studio, this is my parking spot." ambapo ilitokea mshikemshike kwa Chriss Brown kusukamana kibabe na kundi la Frank Ocean.
Comments
Post a Comment