BREAKING NEWS: MSANII SAJUKI AFARIKI DUNIA... on January 01, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Marehemu Sajuki enzi za uhai wake Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki leo asubuhi kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa kipindi kirefu. Comments
Comments
Post a Comment