WASHINDI MAISHA PLUS 2012 HAWA HAPA....



Mshindi wa Maisha Plus 2012 kutoka Dar es salaam  BERENIKI KIMIRO, amejishidia Tshs. Millioni 20

Mshindi wa Pili  Venance Mushi kutoka Dodoma amejishindia Tshs. Million 6.
Mshindi wa Tatu ni Justine Bayo, kutoka Morogoro amejishindia Tshs. Million 4.

Comments