ANYTIME SOON..BLUE KUFANYA VIDEO YA NIPENDE NA OGOPA VIDEO

Herry Samir almaarufu kama Mr Blue baada ya kutoka na ngoma inayotembea kwa jina la Nipende aliyomshirikisha producer Man water.
Blue amesema mashabiki wake wamepokea vizuri ngoma yake mpya ila....
angependa kukufahamisha,kwamba kwa sasa ana michakato ya kuifanyia video shooting ngoma hiyo chini ya Ogopa Video.Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Byser inakuhusu hii.

Comments