50 Cent
French Montana
Rapper ambaye pia anatajwa kama artist mjasiriamali Curtis Jackson maarufu kama 50 Cent ameibuka na kusema msanii French Montana ni msanii mdogo sana kwake hivyo ana uwezo wa kumkick out of business na kufanya career yake ikaishia hapo, akiongea na vyanzo vikuu vya Hollywood 50 ameripotiwa akisema...
Montana hajajipanga kucompete naye katika levo yeyote hivyo bora apige kimya tu, 50 aliendelea kuonyesha gadhabu zake kwa kusema Montana ni msanii mwenye hit song moja hivyo sio rahisi kudeal na mtu kama 50, miaka kadhaa iliyopita 50 Cent aliripotiwa kuingia kwenye bifu kali na rapper Ja Rule na kusababisha na kuharibu kwa kiasi kikubwa soko la mziki wa Ja Rule.

Comments
Post a Comment