THE SOURCE LAMTAJA KENDRIK LAMAR KAMA MSANII BORA CHIPUKIZI MAREKANI


             Jarida la the source limemtaja rapa kutoka Compton California Kendrik Lamar kama msanii bora kabisa kwa upande wa artist wanaochipukia pande za marekani, mpaka sasa Kendrik Lamar amedrop mixtape kama sita hivi na album moja, jamaa amepiga mzigo na watu lukuki wakiwemo Dr. Dre, Game, Drake, Young Jeezy, Talib Kweli, Busta Rhymes,  akiwemo na Lily Wayne

Comments