SELENA GOMEZ: NIMEZUIA MAWASILIANO YOTE NA JUSTIN BIEBER

      Kwa mujibu wa hollywood reporters Ex-gal wa Justin Bieber Selena Gomez juzi kati alitumia karibu siku nzima kuhakikisha anablock mawasiliano yote na justin bieber ikiwemo mawasiliano ya simu (sms), mwanadada Selena amechukua uamuzi huo mara baada ya kuachana na Justin kutokana na kupata tetesi kuwa babyboy wake anatoka na mwanamitindo anayefahamika kwa jina moja la Victoria.

Comments