Ni miaka nane sasa baada ya mkali aliyekuwa anaunda kundi zima la Wu-Tang clan Ol Dirt Bastard kufariki huku jana ndo ilikuwa kumbukumbu yake, Raekwon ambaye ni member wa clan hiyo amesema muda mwingi amekuwa akimkumbuka sana ODB na kumwombea na kuongeza kuwa...
kumfanyia maadhimisho ya kumbukumbu yake inamkumbusha kipindi ambacho walikuwa kampani na ODB, lakini katika hali isiyo ya kawaida Ghostface killa ambaye ni mmoja kati ya member wa kundi hilo ameibuka na kusema kuwa hataomboleza kifo cha ODB bali anasherehekea siku alizokuwa na ODB sababu ODB aliwahi kumwambia asiomboleze pindi atakapokufa. Ol Dirt Bastard maarufu kama ODB alifariki NOv 13 2004 kutokana na kitu kutumia madawa ya kulevya kupita kiasi ( accidental drug overdose)
Comments
Post a Comment