HUYU NDIYO ALIYEFANIKISHA VIDEO MPYA YA JOH MAKINI

Nisher akiwa mtamboni
                          Anaitwa Nisher Director na music video producer anayepiga mzigo katika kampuni yake binafsi aliyoipa jina la NISHER ENTERTAINMENT iliyopo kipande cha A-Town, kama ni vipi chungulia video ya Joh Makini hapo juu halafu niambie unampa nyota ngapi Nisher.

Comments