Brigitte
Alfred akiwa na furaha baada ya kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa
miss Tanzania 2012 jana katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es
Salaam.
Mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati) katika picha ya pamoja na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda Sylvester.
Juu sehemu ya umati uliohudhuria kushuhudia shindano la kumtafuta Miss Tanzania 2012 picha ya chini mshindi wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akionyesha vazi la ubunifu.

Comments
Post a Comment