Msanii anayewakilisha codes za 254 (Kenya) katika game la muziki East Africa, Avril kuwa biashara
ya kuanzisha aina ya
ear/headphones zake ambazo kama zikiwa na ubora mzuri huenda kwenye soko
la Afrika Mashariki zikatoa upinzani kwa zile za Dr Dre Beats By Dre.
Ear phones hizo zitajulikana kama Gs N Fs na zitakuwa sehemu ya mradi wa kuwainua vijana wenye vipaji na mawazo kuhusiana na teknolojia ambao hawana rasilimali za kuendeleza vipaji vyao.....
Ear phones hizo zitajulikana kama Gs N Fs na zitakuwa sehemu ya mradi wa kuwainua vijana wenye vipaji na mawazo kuhusiana na teknolojia ambao hawana rasilimali za kuendeleza vipaji vyao.....
Comments
Post a Comment