TYGA APATA MTOTO WA KIUME

       Like father like son....Tyga akiwa amembeba King Cairo muda mfupi baada ya kuzaliwa

  Jana mtu mzima anayewakilisha crew ya young money cash money Rapper Tyga amepata mtoto wa kiume  aliyempa jina King Cairo Stevenson, Tyga amezaa na mwanadada Black Chyna aliyeonekana katika video  ya Tyga ya Rock City.

Comments