THE DREAM ATEULIWA KUWA MAKAMU RAISI WA DEF JAM RECORDS

       Record label ya Def Jam imemteua mwimbaji the Dream a.k.a. Radio Killer kuwa makamu wa raisi wa A&R katika island defjam music group, The dream ambaye jina lake halisi ni Terius Nash ametangazwa na mwenyekiti wa defjam barry weiss kushikilia nafasi ya umakamu wa raisi katika kitengo cha A&R, the dream anayeshikilia tuzo ya grammy ya mwimbaji bora amejizolea umaarufu mkubwa baada ya kuandika nyimbo za wasaanii wakubwa kama Umbrella ya Rihanna, single ladies ya beyonce,touch my body ya mariah carey ni nyingine nyingi. 

Comments