Mwanamuziki wa kike kutoka kitaa cha marekani ametajwa na jarida la forbes la nchini marekani kama mmoja wa macelebrity wa kike mweusi anayeingiza mkwanja mrefu, rihana a.k.a RIH-RIH ameshika namba tano katika list hiyo kwa kukadiriwa kuingiza dola za kimarekani milioni 53 kwa mwaka huku mwanadada Oprah Winfrey akishika namba moja na huku britney spear akishika namba 2 kwa kuingiza dola milioni kama 58 hivi za kimarekani.
Comments
Post a Comment