Basketball player katika mega league ya NBA nchini marekani Shaquile O'neil akihave fun na watoto wake
Shareef, Amirah, Shaqir, na Me'arah mitaa flani ya marekani its good kwa star kama huyu kula bata na familia, siku moja moja siyo mbaya jaman.....mastaa fanyeni kama Shaquile..siyo dhambi jamani.
Comments
Post a Comment