NICK MINAJ AIBUKA NA KUKANA KUMTISHIA KUMUUA MARIAH CAREY

                     Rapper wa kike anayewakilisha pande za marekani Onika Tanya Maraj maarufu kama Nick Minaj ameibuka na kusema suala la kumtishia kumuua kwa bastola mwimbaji mariah carey ni uzushi tu
na wala siyo kweli, akiongea na kituo kimoja cha habari minaj alikana maelezo yaliyotolewa na carey kuhusiana na kumtishia kumuua kwa bastola, Juzi kati Mariah Carey alisikika akisema alitishiwa kuuwawa na Nick minaj wakati wa auditions za pop idol huko marekani kitu kilichomfanya carey kukosa raha ya maisha na kuishi bila amani.

Comments