Anaitwa Lady Gaga ni msanii wa Pop chini ya record lebel ya Akon `Convict' Records.Lady Gaga a.k.athe pokerface amekuwa mtu wa kwanza kuwa na Follower wengi zaidi kwenye mtandao wa twitter kuliko
mtu yoyote duniani. Kila siku ukurasa wake wa twitter unafatwa na watu 3000. Lady gaga alianza kutawala twitter miaka 2 iliyopita alipo wafunika watu maarufu kama Rais Barak Obama , Mwigizaji Ashton Kutcher na msanii mwezake Britney Spears. Gaga alikuwa wa kwanza kuwa na followers million 10 , akawa wakwanza kuwa na followers million 20 na sasa anaendelea kuwajaza .

Comments
Post a Comment