Janet akiwa na mumewe Wissam Al Mana
Janet Jackson amekuwa na mahusiano na kijana tajiri mwenye asili ya kiarabu kutoka Qatar toka mwaka 2010 na sasa wako tayari kuwa mke na mume. kijana tajiri `Wissam AL Mana anamiaka 36 huku Janet anamiaka 46, Ndoa yao ambayo ni ya Kiislamu itafanyika Doha nchini Qatar mwaka 2013 na kwa sasa tayari sherehe imeanza kupangwa, Janet Jackson ameshabadilisha dini na Kwa sasa ni Muislamu na yuko tayari kwa Ndoa,dollar Million 3 za Kimarekani zitatumika kusafirisha wageni 500 kwenda kwenye harusi, kila atakaye hudhuria atapewa saa ya mkononi aina ya Rolex yenye thamani ya Dollar $10,000. Mpaka sasa grarama za harusi hii ni dollar za Kimarekani Million $20.

Comments
Post a Comment