DRAKE AFANYA POA KATIKA MITIHANI

Mkali kutoka Canada ambaye ni member wa kundi la young money cash money ameprove kwamba licha ya kufanya poa kwenye game la muziki pia kwenye sula zima la elimu yuko poa dzain, Drake amepata marks za juu katika mtihani wake wa mwisho kwa kupiga...
97% huku kwenye kozi za darasani akiibuka na 88% huku ufaulu huo ukimfanya Drake kugraduate akiwa happy ile kinoma noma kwa kuonyesha furaha yake kwa tukio hilo mtu mzima Drake alitupia ujumbe mfupe kwenye twitter akiandika.."97% on my final exam.88% in the course.One of the greatest feelings in my entire life.As of tonight I have graduated high school!!."

Comments