Mkali kutoka pande za Nigeria anayetisha na ngoma yake kali ya oliva twist D'BANJ the coco master pamoja na mtu mzima aliyebamba na ngoma kali ya African Queen Innocent Ujah Idibia maarufu kama 2 face wamerekodi mdundo mkali unaokwenda kwa jina la "Feeling Good" huku ikiwa imetetengenezwa na Don Jazzy, na huku video ya wimbo huo ikiwa kwenye hatua za mwisho za utengenezaji.
Comments
Post a Comment