kama ushawahi kulisikia jina la Shad Gregory moose katika upande wa muziki anafahamika kwa jina la Bow wow kutoka pande za state.Sasa basi habari nzuri ni kwamba msanii huyu ametangazwa rasmi kuanzia sasa atakuwa host mpya katika kipindi cha "106 & Park" kinachorushwa katika station ya Black Entertainment Television.Kwa hiyo msanii huyu atakuwa mmoja kati ya majaji wapya wanne watakaopiga show hiyo.Kwa hiyo mashabiki wa Bow wow dzain kama inawahusuuu hii
Comments
Post a Comment