ARTIST: MTOZA USHURU
SONG: AGENT
STUDIOS: BARIDI TOUCHES
VIDEO PRODUCER: LIKATI THOMAS
VIDEO PRODUCTION: GRAFIX FILMS
Katika musical scene anatembea kwa taito ya mtoza ushuru huku official name anatambulika kama Zakayo Mwalongo all the way kutoka kitaa cha kibena Njombe, nje ya music jamaa ananoa kichwa pale university la Tumaini-Iringa, habari poa kwa
watu wake wa nguvu na fans wake kwa jumla ni kuwa anytime very soon mtu mzima atadrop new hip hop video inayotembea kwa jina la "AGENT" audio ikiwa produced tok
a audio station ya BARIDI TOUCHES pande za Njombe huku video ikiwa directed and produced na Likati Thomas kutoka GRAFIX FILMS,nimefanikiwa kucheki baadhi ya scene zilizofanyika katika video na kuona muonekana mpya wa hip hop music videos kutoka kiwanda cha music tz,... People get ready kwa ajili ya kutazama video ya agent kutoka kwa MTOZA USHURU itakayoruka kwenye Tv stations all over East Africa.
Comments
Post a Comment