BIG SEAN ASEMA KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA KUFANYA COLLABO NA EMINEM


                       Rapper kutoka label ya GOOD MUSIC nchini marekani ameongelea uwezekano wa kufanya big hit collabo na msanii kutoka pande za detroit marshal mathers, katika mahojiano yake na kituo kimoja cha habari big sean alisema
kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kufanya ngoma na mtu mzima eminem sababu anamzimia sana na pia anampango wa kufanya kitu tofauti kwani watu wengi wamezoea kumsikia akifanya zile club bangers,big sean aliongelea  mpango huo wakati akiinadi album yake mpya inayoenda kwa jina la Hall of Fame.

Comments