AMBER ROSE ADIS WANAODIS UHUSIANO WAKE NA WIZ KHALIFA

Mwanadada Amber Rose ameibuka na kusema hajali watu wanachosema kuhusiana na mahusiano yao ya kimapenzi kati yake na Cameron Thomaz maarufu kama Wiz khalifa kwa kusema kuwa anampenda sana Wiz na kuwa hana muda wakusikiliza nini watu wanachosema kuhusiana na mapenzi yake na wiz khalifa, mwanadada huyo mwenye
makeke mengi ameweka wazi kuwa anampenda Wiz khalifa kama wiz khalifa na siyo kwa sababu wiz ni rapper anayetisha katika game ya mziki na wala siyo sababu wiz khalifa ni rapper mwenye uwezo kifedha, amber rose alisema hayo wakati akihojiwa na gazeti moja maarufu la burudani nchini marekani kuhusiana na shutma dhidi yake kutoka kwa mashabiki na wadau mbalimbali wa burudani kwamba amber rose anampenda wiz sababu wiz ni rapper aliye kwenye chat na pia ni rapper anayejiweza kimkwanja.

Comments