SERENGETI FIESTA 2012 ILIVYOTISHA IRINGA TOWN.

Rachel kutoka THT akifanya yake katika jukwaa la fiesta Samora stadium-Iringa usiku wa tar.12 sept. 
                                              Sheta Akiburudisha katika jukwaa la fiesta-Iringa
  Aunt akiboogie katika mpango mzima wa kutoa burudani katika tamasha la serengeti Fiesta Iringa mjini.

Comments