Mtu mzima mwenye sauti zito la kihip hop ambaye ana muonekano wa kitofauti kwa kutoka na style ya kuachia ndevu nyingi na para kichwani ametajwa kama mega superstar atakayetimba bongo kuwarusha watu katika tamasha la serengeti fiesta 2012 linalodhaminiwa na serengeti breweries pamoja na clouds media.
Comments
Post a Comment