The best producer on the planet kutoka fishcrab Audio station amehusika mazima katika uandaaji wa video mpya ya lady Jay dee iitwayo "yeye", juu mtu mzima Lamar pamoja na Karabani wakipiga zile classic shots,tusubiri tuone kama lamar ataprove kuwa ye ni mkali wa kuproduce music videos licha ya watu wengi kumzoea akigonga beats zenye kick tamu.

Comments
Post a Comment