Legend wa Muziki wa Hip hop duniani Shawn Carter amesema hafikirii kuingia kwenye siasa ingawa ana urafiki wa karibu na raisi wa marekani Barack Obama, katika mahojiano yake na kituo kimoja cha habari za burudani nchini marekani kuhusiana na kuwa na uswahiba na Obama kitu ambacho watu wengi wanahisi huenda Jay-z anataka kugombea uraisi wa marekani Jay- z alifunguka na kusema "I
support Barack because I gotta respect that sort of vision. I gotta
respect a man who is the first black President ever. To have that sort
of vision and dream, I have to support that."
Comments
Post a Comment