Mkali wa kuspin fire kwenye turnatables ambaye pia ni mkali wa kukibambia kipaza on stage na pia anakimbiza vilivyo katika career ya uprizenta wa radio pande za radio country fm Iringa Town kupitia the latest radio show "NGOMA ZA MCHANA", he's back in town kwa kutoka na music video mpya goes by the name of "CHAP CHAP" Audio ikiwa produced na Mr.T-touch kutoka seductive records huku video ikipigwa na mtu mzima Mike-T kutoka kampuni za Showbiz Defined.
Comments
Post a Comment