LADY GAGA.......THE TWITTER QUEEN

Speaking of divas ambao wanatweet sana kunako social website ya tweeter hadi kuweza kuattract a millions of people kuwa wafuasi wake "followers" Yeaah!! its a drama queen and a telephone singer lady gaga the poker face anatajwa kama a tweeter queen baada ya kujizolea followers wapatao milioni ishirini na tano duniani, 25milliontweetymonster wow! iam officially feeling like the lukiest girl in the world" aliandika gaga kupitia mtandao wa tweeter.

Comments