IN THE VIDEO MAKING OF PAMOJA WE CAN BY DJ CHOKA


            Dj choka ameamua kuprove ni kwa kiasi gani ana luv na Music kwa kurekodi Audio Track inayokwenda kwa jina la pamoja we can akiwa amewashirikisha wakali kibao wanao-run game ya kibongo akiwemo "baadaye sana" hit maker ( mabeste) na kuifanyia video kabisa, Juu ni baadhi ya scene za pamoja we ca pande za Maisha Club.

Comments