CAMP MULLA: CREW KUTOKA KENYA INAYOWAKILISHA EAST AFRICA KATIKA TUZO ZA BET

     Camp Mulla group ni moja kati ya upcoming mega music groups inayowakilisha vizuri music industry ya kenya,Group hilo linaundwa na Taio Tripper, Shappaman Kass, K'Cous and Miss Karun,  recently jamaa wanazidi ku-upgrade music status yao baada ya kupata zali la kuwa moja kati ya nominees katika BET Music Awards zitakazofanyika kipande cha marekani, This proves that the East African music inavuka boda na kutambulika zaidi abroad.

Comments