ARV'S ZALETA BALAA; MWANAUME AOTA MATITI BAADA YA KUZITUMIA

Mkaazi wa kijiji cha Magomeni Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Khamisi Tanga (46) akionyesha matiti yaliyoota sehemu ya kifua chake baada ya kutumia dawa za kupunguza makali ya ukimwi maarufu kama ARV.

Comments