AIRTEL SUPA 5 YAPAGAWISHA IRINGA TOWN

                          Tip Top connection wakitoa burudani katika promotion ya moja kati ya huduma mpya za Airtel inayokweanda kwa jina la Airtel Supa 5  ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya walitoa burudani katika tamasha hilo la wazi lililofanyika katika viwanja vya Mwembetogwa pande za Iringa,baadhi ya wasanii waliotoa burudani na kuuchengua umati ni mkongwe Juma Nature kutoka TMK, Roma Mkatoliki Tip Top connection na wengine wengi.

Comments