Ni wazi kuwa someone like you singer ( Adele) siku chache zijazo atayaongezea furaha maisha yake kwa kupata mtoto wake wa kwanza, Adele mwenye miaka 24 jana alijitangaza ana ujauzito wa boyfriend wake Simon Konecki.
"Nina furaha kutangaza Simon na mimi tunategemea kupata mtoto wetu wa kwanza. Nilitaka wote mjue habari hizi kutoka kwangu, na kiukweli nina furaha sana lakini naomba muheshimu maisha yetu binafsi kwenye kipindi hiki chenye thamani kwetu, alifunguka Adele kuhusiana na ujauzito wake.

Comments
Post a Comment